Friday 7 October 2011

KOSA

Mkose nduguyo uje jua mnyama.
Ni moyo wajitia kidhani .
Uchungu  taulamba wewe kihama.
Majonzi tatoa kiomba msama.
Haijalishi, si mzee wala mama.

Mkose sikazidi mara mbili.
Matokeo kuumiza wako mwili.
Na kati ya zaidi ya wawili.
chuki itazikoroga zenu akili.
Maanake hakuna uiano.

Mkose sio kakukose naye.
Basi kakubali mwenyewe baadaye.
Sababu kosa maishani kawaidaye.
Tokea zama za Kaini na mamaye.
Walivyo  mkosa mtumishiye.

Bosco

0719750738 



No comments: